sw_tn/num/04/34.md

24 lines
453 B
Markdown

# Wana wa uzao wa Wakohathi
Hii inamaainsha wale wana wa kiume. "Wana wa wa kiume wa uzao w a Wakohathi"
# Wakohathi
Tazama 3:27
# Wenye umri wa miaka thelathini hadi umri wa wa miaka hamsini
"Miaka 30 umri wa miaka 50"
# kila mmoja aliyepaswa kuungana na kundi
"kila mmoja aliyekuwa ameamriwa kuunagana na kundi"
# kuungana na kundi linalotoa huduma y a utumishi kwenye hema ya kukutania
Tazama 4:1
# 2,750
"elfu mbili, mia saba na hamsini"