sw_tn/num/04/34.md

453 B

Wana wa uzao wa Wakohathi

Hii inamaainsha wale wana wa kiume. "Wana wa wa kiume wa uzao w a Wakohathi"

Wakohathi

Tazama 3:27

Wenye umri wa miaka thelathini hadi umri wa wa miaka hamsini

"Miaka 30 umri wa miaka 50"

kila mmoja aliyepaswa kuungana na kundi

"kila mmoja aliyekuwa ameamriwa kuunagana na kundi"

kuungana na kundi linalotoa huduma y a utumishi kwenye hema ya kukutania

Tazama 4:1

2,750

"elfu mbili, mia saba na hamsini"