sw_tn/num/04/12.md

371 B

miti ya kubebea

Hiki ni chombo cha miti chenye umbo la mstatili kilicho na nguzo za kubebea vitu.

kwa kazi ya madhababahuni

"vinavyotumika wakati wa kutoa huduma ya BWANA mahali patakatifu"

katika kazi ya madhabahuni

"wakati wa kutoa huduma madhabahuni"

kuweka ile mitiy a kubebea

"Weka ile miti ya kubebea kwenye zile pete zilizo pembezoni mwa madhabahu"