# miti ya kubebea Hiki ni chombo cha miti chenye umbo la mstatili kilicho na nguzo za kubebea vitu. # kwa kazi ya madhababahuni "vinavyotumika wakati wa kutoa huduma ya BWANA mahali patakatifu" # katika kazi ya madhabahuni "wakati wa kutoa huduma madhabahuni" # kuweka ile mitiy a kubebea "Weka ile miti ya kubebea kwenye zile pete zilizo pembezoni mwa madhabahu"