sw_tn/num/04/01.md

275 B

Kohathi

Tazama 3:17

kati ya miaka thelathini na hamsini

"kati ya miaka 30 hadi 50"

wataungana na kundi

Neno "kundi"linamaanisha wale watu wengine wanaofanya kazi kwenye hema ya kukutania.

vilivyohifadhiwa kwa ajili yangu

"ambavyo nimevichagua kwa ajili yangu"