# Kohathi Tazama 3:17 # kati ya miaka thelathini na hamsini "kati ya miaka 30 hadi 50" # wataungana na kundi Neno "kundi"linamaanisha wale watu wengine wanaofanya kazi kwenye hema ya kukutania. # vilivyohifadhiwa kwa ajili yangu "ambavyo nimevichagua kwa ajili yangu"