sw_tn/num/03/38.md

20 lines
423 B
Markdown

# watoto wake
Neno "wake" inamhusu Haruni
# kuelekea mawio ya jua
huu ni upande wa mashariki wa masikani. "upande ule wa mashariki kwenye mawio ya jua"
# wataajibika na majukumu
neno "majukumu" ni nomino zahania inayoweza kuelezeka kama kitenzi, "kufanya majukumu"
# mgeni atakayekaribia mahali patakatifu auawe"
Utamwua kila mgeni atakayekaribia mahali patakatifu
# wanaume ishirini na mbili elfu
wanaume 22,000