sw_tn/num/03/38.md

423 B

watoto wake

Neno "wake" inamhusu Haruni

kuelekea mawio ya jua

huu ni upande wa mashariki wa masikani. "upande ule wa mashariki kwenye mawio ya jua"

wataajibika na majukumu

neno "majukumu" ni nomino zahania inayoweza kuelezeka kama kitenzi, "kufanya majukumu"

mgeni atakayekaribia mahali patakatifu auawe"

Utamwua kila mgeni atakayekaribia mahali patakatifu

wanaume ishirini na mbili elfu

wanaume 22,000