sw_tn/num/03/07.md

414 B

badala ya

"kwa." Hii inamaanisha kufanya kazi ya mwingine kama mwakilishi wa wengine.

watayatumikia makabila ya Israeli

Hapa "makabila ya Israeli inamaanisha watu wa Israeli. "Kuwatumika watu wa Israeli"

watawatumikia makabila ya Israeli kwa huduma ya hemani

Kirai cha "kwa huduma" kinamaanisha kutumika." "Wtawasaidia Waisraeli kwa kutoa huduma ya hemani"

kwa huduma ya hemani

"kazi ya hemani."