sw_tn/num/03/07.md

16 lines
414 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# badala ya
"kwa." Hii inamaanisha kufanya kazi ya mwingine kama mwakilishi wa wengine.
# watayatumikia makabila ya Israeli
Hapa "makabila ya Israeli inamaanisha watu wa Israeli. "Kuwatumika watu wa Israeli"
# watawatumikia makabila ya Israeli kwa huduma ya hemani
Kirai cha "kwa huduma" kinamaanisha kutumika." "Wtawasaidia Waisraeli kwa kutoa huduma ya hemani"
# kwa huduma ya hemani
"kazi ya hemani."