sw_tn/num/02/22.md

281 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anaenedelea kumwambia Musa mahali ambapo kila kabila na jeshi lao litakapoweka kambi kuizunguka hema ya kukutania.

Kabila litakalofuata

Hii inamaanishsakuwa kabila la Manase ndilo litakalofuata, baada ya kabila la Efraimu.

35,400

Wanaume 35,400