sw_tn/num/02/17.md

289 B

hema ya kukutania kuondoka kambini .. katikati ya kambi zote

Hii inamaanisha kuwa hema ya kukutania lazima libebwe na Walawi katikati ya makabila wakati wa safari.

Lazima waondoke

neno "wa" inamaanishsa makabila kumi na mbili.

kwa kufuata bango lake

"Kwa bango la kabila lake"