# hema ya kukutania kuondoka kambini .. katikati ya kambi zote Hii inamaanisha kuwa hema ya kukutania lazima libebwe na Walawi katikati ya makabila wakati wa safari. # Lazima waondoke neno "wa" inamaanishsa makabila kumi na mbili. # kwa kufuata bango lake "Kwa bango la kabila lake"