sw_tn/num/02/01.md

348 B

kulingana na mahali pake

Kulikuwa na makundi makubwa manne ambayo makabila yalikuwa yamegawanyika. Kila kundi liliamuliwa kukaa mahali pamoja. Kila kundi lilitambulishwa na bango.

pamoja na mabango ya baba zao

Kila ukoo ulikuwa na bango lao hapo kambini, ambalo lilikuwa ndani ya eneo kufuata mahali pao.

mabango

bango ni bendera kubwa.