# kulingana na mahali pake Kulikuwa na makundi makubwa manne ambayo makabila yalikuwa yamegawanyika. Kila kundi liliamuliwa kukaa mahali pamoja. Kila kundi lilitambulishwa na bango. # pamoja na mabango ya baba zao Kila ukoo ulikuwa na bango lao hapo kambini, ambalo lilikuwa ndani ya eneo kufuata mahali pao. # mabango bango ni bendera kubwa.