forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
433 B
Markdown
20 lines
433 B
Markdown
# Siku ya kwanza ya mwezi wa pili
|
|
|
|
Huu ni mwezi wa pili wa kalenda ya Kihebrania. Siku ya kwanza iko karibu na katikati ya mwezi wa Aprili kwa kalenda ya nchi za Kimagharinbi.
|
|
|
|
# Mwaka wa pili
|
|
|
|
"Mwaka wa 2"
|
|
|
|
# Wahesabu kwa majina
|
|
|
|
Kuwahesabu wanaume kwa kunakiri majina yao.
|
|
|
|
# Umri wa miaka ishirini
|
|
|
|
"Umri wa miaka 20"
|
|
|
|
# Unakiri majina ya wanaume kwa katika makundi yao ya kijeshi
|
|
|
|
Kuwaandika wanaume kufuata vikosi vya kijeshi.
|