sw_tn/num/01/01.md

433 B

Siku ya kwanza ya mwezi wa pili

Huu ni mwezi wa pili wa kalenda ya Kihebrania. Siku ya kwanza iko karibu na katikati ya mwezi wa Aprili kwa kalenda ya nchi za Kimagharinbi.

Mwaka wa pili

"Mwaka wa 2"

Wahesabu kwa majina

Kuwahesabu wanaume kwa kunakiri majina yao.

Umri wa miaka ishirini

"Umri wa miaka 20"

Unakiri majina ya wanaume kwa katika makundi yao ya kijeshi

Kuwaandika wanaume kufuata vikosi vya kijeshi.