sw_tn/neh/13/21.md

8 lines
313 B
Markdown

# Mbona mnakaa nje ya ukuta?
Nehemia anafanya swali hili lisipate jibu bali kuwaadhibu wafanyabiashara na kusisitiza amri yake. AT "Wewe ni kambi nje ya ukuta dhidi ya kile nilichoamuru."
# nitakuweka mikononi!
Neno "mikono" ni metonymy kwa hatua kali. AT 'Nitawafukuza kwa nguvu!" au "Nitawaondoa kwa nguvu!"