sw_tn/neh/13/21.md

313 B

Mbona mnakaa nje ya ukuta?

Nehemia anafanya swali hili lisipate jibu bali kuwaadhibu wafanyabiashara na kusisitiza amri yake. AT "Wewe ni kambi nje ya ukuta dhidi ya kile nilichoamuru."

nitakuweka mikononi!

Neno "mikono" ni metonymy kwa hatua kali. AT 'Nitawafukuza kwa nguvu!" au "Nitawaondoa kwa nguvu!"