sw_tn/neh/13/19.md

16 lines
485 B
Markdown

# Mara ilipokuwa giza..... kabla ya Sabato
"Wakati jua lilishuka ... na ilikuwa ni wakati wa Sabato kuanza"
# milango ifungwe na kwamba haifai kufunguliwa hadi
Hii inaweza kutafsiriwa kwa fomu ya kazi. AT "kwamba walinzi wafunga milango na hawafunguli mpaka "
# mzigo wowote usiweze kuletwa
Hii inaweza kutafsiriwa kwa fomu ya kazi. AT 'hakuna mtu anayeweza kuleta vitu walivyotaka kuuza'
# wauzaji wa kila aina ya bidhaa
"watu ambao walileta vitu vingi ambavyo walitaka kuuza"