sw_tn/neh/13/19.md

485 B

Mara ilipokuwa giza..... kabla ya Sabato

"Wakati jua lilishuka ... na ilikuwa ni wakati wa Sabato kuanza"

milango ifungwe na kwamba haifai kufunguliwa hadi

Hii inaweza kutafsiriwa kwa fomu ya kazi. AT "kwamba walinzi wafunga milango na hawafunguli mpaka "

mzigo wowote usiweze kuletwa

Hii inaweza kutafsiriwa kwa fomu ya kazi. AT 'hakuna mtu anayeweza kuleta vitu walivyotaka kuuza'

wauzaji wa kila aina ya bidhaa

"watu ambao walileta vitu vingi ambavyo walitaka kuuza"