sw_tn/neh/13/10.md

589 B

sehemu zilizotolewa kwa ajili ya kuwapa Walawi hazikutolewa kwao

Hii inaweza kutafsiriwa kwa fomu ya kazi. AT "watu hawajawaingiza ndani ya vituo vya kuhifadhi sehemu yao ya kumi na sadaka ya chakula kwa makuhani wa hekalu"

walikuwa wamekimbia, kila mmoja katika shamba lake, Walawi na waimbaji waliofanya kazi hiyo

"Walawi na waimbaji waliofanya kazi waliondoka hekalu, kila mmoja kwenda shamba lake mwenyewe"

Kwa nini nyumba ya Mungu imeachwa?

Hili ndio swali la kuzingatia tangu Nehemia analitumia ili kuwapinga au hata kuwadhihaki viongozi ambao hawakuwa wamefanya kazi yao