forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
589 B
Markdown
12 lines
589 B
Markdown
|
# sehemu zilizotolewa kwa ajili ya kuwapa Walawi hazikutolewa kwao
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kutafsiriwa kwa fomu ya kazi. AT "watu hawajawaingiza ndani ya vituo vya kuhifadhi sehemu yao ya kumi na sadaka ya chakula kwa makuhani wa hekalu"
|
||
|
|
||
|
# walikuwa wamekimbia, kila mmoja katika shamba lake, Walawi na waimbaji waliofanya kazi hiyo
|
||
|
|
||
|
"Walawi na waimbaji waliofanya kazi waliondoka hekalu, kila mmoja kwenda shamba lake mwenyewe"
|
||
|
|
||
|
# Kwa nini nyumba ya Mungu imeachwa?
|
||
|
|
||
|
Hili ndio swali la kuzingatia tangu Nehemia analitumia ili kuwapinga au hata kuwadhihaki viongozi ambao hawakuwa wamefanya kazi yao
|