sw_tn/neh/13/04.md

541 B

Eliashibu kuhani akawekwa

Hii inaweza kutafsiriwa kwa fomu ya kazi. AT "walimchagua Eliashibu kuhani" au "viongozi wamteua Eliashibu kuhani"

Alikuwa na uhusiano na Tobia

"Eliashibu na Tobia walifanya kazi pamoja"

Eliashibu alimuandalia Tobia chumba kikubwa

"Eliashibu aliandaa chumba kikuu cha duka kwa Tobia kutumia"

Walinzi wa malango

watu waliopewa kila mlango, wajibu wa kudhibiti shughuri zote za jiji au hekalu, na kufungua na kufunga milango kwa nyakati na kwa sababu zilizowekwa na msimamizi. Tafsiri kama katika 7:1.