forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
541 B
Markdown
16 lines
541 B
Markdown
|
# Eliashibu kuhani akawekwa
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kutafsiriwa kwa fomu ya kazi. AT "walimchagua Eliashibu kuhani" au "viongozi wamteua Eliashibu kuhani"
|
||
|
|
||
|
# Alikuwa na uhusiano na Tobia
|
||
|
|
||
|
"Eliashibu na Tobia walifanya kazi pamoja"
|
||
|
|
||
|
# Eliashibu alimuandalia Tobia chumba kikubwa
|
||
|
|
||
|
"Eliashibu aliandaa chumba kikuu cha duka kwa Tobia kutumia"
|
||
|
|
||
|
# Walinzi wa malango
|
||
|
|
||
|
watu waliopewa kila mlango, wajibu wa kudhibiti shughuri zote za jiji au hekalu, na kufungua na kufunga milango kwa nyakati na kwa sababu zilizowekwa na msimamizi. Tafsiri kama katika 7:1.
|