sw_tn/neh/12/40.md

465 B

mimi pia nikachukua nafasi yangu

Nehemia anasema hapa. AT "Mimi, Nehemia, pia nilichukua nafasi yangu"

Eliakimu.... Maaseya.....Miyamini.....Mikaya....Elioenai.... Zekaria....Hanania ....Maaseya....Shemaya...Eleazari....Uzi....Yehohanani ....Malkiya, Elamu.....Ezeri

Haya ni majina ya wanaume ambao walikuwa makuhani wakati huo.

Yezrahia

Hili ni jina la kiume ambaye alikuwa kiongozi wa waimbaji.

walijifanya wenyewe kusikia

"kuimba kwa sauti kubwa"