# mimi pia nikachukua nafasi yangu Nehemia anasema hapa. AT "Mimi, Nehemia, pia nilichukua nafasi yangu" # Eliakimu.... Maaseya.....Miyamini.....Mikaya....Elioenai.... Zekaria....Hanania ....Maaseya....Shemaya...Eleazari....Uzi....Yehohanani ....Malkiya, Elamu.....Ezeri Haya ni majina ya wanaume ambao walikuwa makuhani wakati huo. # Yezrahia Hili ni jina la kiume ambaye alikuwa kiongozi wa waimbaji. # walijifanya wenyewe kusikia "kuimba kwa sauti kubwa"