sw_tn/neh/12/38.md

20 lines
379 B
Markdown

# kwaya
"kundi la waimbaji"
# Niliwafuata
Nehemia aliwafuata
# mnara wa vinyago...mnara wa Hananeli... mnara wa Hamea
Hizi ni majina ya miundo mirefu ambako watu walikuwa macho kulinda hatari .
# Ukuta mrefu
Hili ni jina la sehemu ya ukuta.
# lango la Efraimu...lango wa kale....lango la samaki... lango la Kondoo...lango la walinzi
Haya ni majina ya wazi katika ukuta.