sw_tn/neh/12/38.md

379 B

kwaya

"kundi la waimbaji"

Niliwafuata

Nehemia aliwafuata

mnara wa vinyago...mnara wa Hananeli... mnara wa Hamea

Hizi ni majina ya miundo mirefu ambako watu walikuwa macho kulinda hatari .

Ukuta mrefu

Hili ni jina la sehemu ya ukuta.

lango la Efraimu...lango wa kale....lango la samaki... lango la Kondoo...lango la walinzi

Haya ni majina ya wazi katika ukuta.