sw_tn/neh/12/22.md

16 lines
438 B
Markdown

# Eliashibu....Yoyada......Yohana...... Yadua
majina ya wanaume
# wakati wa utawala wa Dariyo
Maana nyingine inaweza kuwa ni "mpaka utawala wa Dariyo"
# waliandikwa katika Kitabu cha tarehe
Hii inaweza kutaja Kitabu cha Mambo ya Nyakati. Waandishi waliandika maneno katika mistari hapo juu katika kitabu kilichoandika matukio ya kila siku.
# hadi siku za Yohana mwana wa Eliashibu.
Kumbukumbu za hekalu zimeandikwa tu hadi Johana.