sw_tn/neh/12/15.md

995 B

Sentensi Unganishi

Orodha iliyoanza 12:12 inaendelea.

Adna...Helkai....Zekaria.....Meshulamu....Zikri ....Piltai....Shamua..... Yehonathani.....Matenai....Uzi.....Kalai.....Eberi .....Hashabia....Nethanel

Haya ni majina ya wanaume wote.

Harimu.....Meremothi...Ido....Ginethoni.....Abia.... Miyaamini....Maazia.....Bilgai....Shemaya....Yoyaribu.... Yedaya.....Salu.... Amoki...Hilkia.....Yedaya

Haya ni majina ya familia ambazo zinaitwa baada ya wanaume.

alikuwa kiongozi wa

"alikuwa kiongozi wa familia ya" au "alikuwa kiongozi wa wazao wa"

Meshulamu alikuwa kiongozi wa Ginethoni

Ginethoni inaweza kuwa aina nyingine ya jina la Ginethoi.

wa Miyaamini

Maandishi ya Kiebrania yanatoka kwa makosa jina la kiongozi wa familia ya Miniamin. Baadhi ya matoleo ya kisasa huacha maneno hayajahitimishwa, kama ULB inavyofanya. Matoleo mengine hutoa maelezo mafupi ya kufanya upungufu wa jina la kiongozi (tazama UDB).

Maazia

Maazia inaweza kuwa aina nyingine ya jina la Maazia