sw_tn/neh/12/10.md

344 B

Yoshua...Yoyakimu... Eliashibu...Yoyada...onathani...Yadua

Haya ni majina ya wanaume

Yoshua alikuwa babaye Yoyakimu

Ikiwa msomaji wako atahitaji kujua kwamba Jeshua alikuwa kuhani mkuu miaka mingi kabla ya wakati huu, unaweza kutaka kufuata mfano wa UDB. AT "Jeshua miaka mingi hapo awali alikuwa kuhani mkuu. Alikuwa baba ya Yoyakimu."