# Yoshua...Yoyakimu... Eliashibu...Yoyada...onathani...Yadua Haya ni majina ya wanaume # Yoshua alikuwa babaye Yoyakimu Ikiwa msomaji wako atahitaji kujua kwamba Jeshua alikuwa kuhani mkuu miaka mingi kabla ya wakati huu, unaweza kutaka kufuata mfano wa UDB. AT "Jeshua miaka mingi hapo awali alikuwa kuhani mkuu. Alikuwa baba ya Yoyakimu."