sw_tn/neh/11/05.md

389 B

Sentensi Unganishi

Katika aya hizi, Nehemia anaendelea kuandika maafisa wa mkoa ambao waliishi Yerusalemu

Maaseya..... Baruki......Kolhoze.......Hazaya......Adaya....... Yoyaribu.....Zakaria....Peresi

Haya ni majina ya wanaume.

Baruki

mtu kutoka mji wa Shilo

wana wa Perezi

"wazawa wa Peresi"

468. Walikuwa masujaa.

"468 wanaume mashujaa" au "468 wanaume wenye ujasiri"