# Sentensi Unganishi Katika aya hizi, Nehemia anaendelea kuandika maafisa wa mkoa ambao waliishi Yerusalemu # Maaseya..... Baruki......Kolhoze.......Hazaya......Adaya....... Yoyaribu.....Zakaria....Peresi Haya ni majina ya wanaume. # Baruki mtu kutoka mji wa Shilo # wana wa Perezi "wazawa wa Peresi" # 468. Walikuwa masujaa. "468 wanaume mashujaa" au "468 wanaume wenye ujasiri"