sw_tn/neh/11/03.md

451 B

katika nchi yake mwenyewe, ikiwa ni pamoja na Waisraeli

"katika nchi yake Israeli Waisraeli"

baadhi ya wana wa Yuda na baadhi ya wana wa Benyamini

"baadhi ya watu wa Yuda na baadhi ya watu wa Benyamini"

Watu kutoka Yuda walijumuishwa

"Kutoka kwa wana wa Yuda"

Benyamini.......Athaya......Uzia......Zekaria..... Amaria......Shefatia.......Mahalaleli......Peresi

Haya ni majina ya wanaume.

wazao wa Perez

"kutoka kwa wazao wa Perezi"