# katika nchi yake mwenyewe, ikiwa ni pamoja na Waisraeli "katika nchi yake Israeli Waisraeli" # baadhi ya wana wa Yuda na baadhi ya wana wa Benyamini "baadhi ya watu wa Yuda na baadhi ya watu wa Benyamini" # Watu kutoka Yuda walijumuishwa "Kutoka kwa wana wa Yuda" # Benyamini.......Athaya......Uzia......Zekaria..... Amaria......Shefatia.......Mahalaleli......Peresi Haya ni majina ya wanaume. # wazao wa Perez "kutoka kwa wazao wa Perezi"