sw_tn/neh/10/09.md

1.4 KiB

Taarifa za jumla

Katika aya hizi, Nehemia anaendelea kuandika majina ya watu walio saini hati iliyofunikwa.

Walawi walikuwa

Hii inahusu wale wanaweka majina yao kwenye nyaraka zilizofunikwa. AT "Walawi ambao waliweka majina yao kwenye nyaraka zilizofunikwa"

Yeshua...Henadadi

Haya ni majina ya wanaume. Tafsiri kama 3:18.

Azania.... Rehobu...Beninu

Haya ni majina ya wanaume.

Binui

Hili ni jina la mwanaume. kama ilivyo tafasiliwa katika 3:22

Kadmieli

Hili ni jina la mwanaume. kama ilivyo tafasiliwa katika 7:43

Shebania

Hili ni jina la mwanaume. kama ilivyo tafasiliwa katika 9:3.

Hodia.....Kelita.....Pelaya.....Sherebia

Haya ni majina ya wanaume . kama ilivyo tafasiliwa 8:6

Hanani

Hili ni jina la mwanaume. kama ilivyo tafasiliwa katika 7:46

Mika

Hili ni jina la mwanaume. kama ilivyo tafasiliwa katika 10:9.

Hashabia.....Bani

Haya ni majina ya wanaume. Tafsiri kama 3:16

Zakuri

Hili ni jina la mwanaume. kama ilivyo tafasiliwa katika 3:1

Viongozi wa watu walikuwa

Hii inahusu wale wanaweka majina yao kwenye nyaraka zilizofunikwa. AT "Viongozi wa watu ambao waliweka majina yao kwenye nyaraka zilizofunikwa walikuwa"

Paroshi

Hili ni jina la mwanaume. kama ilivyo tafasiliwa katika 3:25.

Pahath-Moabu

Hili ni jina la mwanaume. kama ilivyo tafasiliwa katika 3:11

Elamu.........Zatu

Hili ni jina la mwanaume. kama ilivyo tafasiliwa katika7:11