sw_tn/neh/09/20.md

20 lines
503 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli.
# Roho wako mzuri....mana yako... maji
Mwandishi hubadili neno la kawaida ili kusisitiza mambo mema ambayo Bwana aliwapa watu wake. Lugha yako inaweza kuwa na njia nyingine ya kusisitiza vitu hivi.
# fundisha
"fundisha"
# mana yako haukuwanyima kinywani mwao
Litotesi hii inaweza kuelezewa vizuri. AT "na wewe kwa upole uliwapa mana"
# kinywani mwao
Kinywa ni busara kwa mtu mzima. AT kutoka kwao