sw_tn/neh/09/20.md

503 B

Sentensi unganishi

Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli.

Roho wako mzuri....mana yako... maji

Mwandishi hubadili neno la kawaida ili kusisitiza mambo mema ambayo Bwana aliwapa watu wake. Lugha yako inaweza kuwa na njia nyingine ya kusisitiza vitu hivi.

fundisha

"fundisha"

mana yako haukuwanyima kinywani mwao

Litotesi hii inaweza kuelezewa vizuri. AT "na wewe kwa upole uliwapa mana"

kinywani mwao

Kinywa ni busara kwa mtu mzima. AT kutoka kwao