sw_tn/neh/09/16.md

815 B

Sentensi unganishi

Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli.

wao na baba zetu

Waisraeli wakati wa Musa na watu wa Israeli baada ya wakati wa Musa

wao walikuwa wakaidi ... wakawa wakaidi

Maneno halisi ni "walifanya ngumu zao ngumu." Ikiwa lugha yako ina dalili tofauti ya kuwa mkaidi, ungependa kuitumia hapa.

maajabu uliyofanya kati yao

"miujiza uliyoifanya kati yao"

wakamchagua kiongozi wairudie hali ya utumwa

"walimteua kiongozi kuwapeleka kwenye nchi waliyokuwa watumwa."

ambaye amejaa msamaha

Nia ya kusamehe inazungumzwa kama kama ni maji ambayo inaweza kujaza chombo. AT "ambaye yupo tayari kusamehe"

wingi katika upendo thabiti

Upendo umesemekana kama ni mazao ya chakula ambayo Bwana angeweza kushirikiana na watu. AT "anapenda watu wake sana"