sw_tn/neh/09/16.md

28 lines
815 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi unganishi
Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli.
# wao na baba zetu
Waisraeli wakati wa Musa na watu wa Israeli baada ya wakati wa Musa
# wao walikuwa wakaidi ... wakawa wakaidi
Maneno halisi ni "walifanya ngumu zao ngumu." Ikiwa lugha yako ina dalili tofauti ya kuwa mkaidi, ungependa kuitumia hapa.
# maajabu uliyofanya kati yao
"miujiza uliyoifanya kati yao"
# wakamchagua kiongozi wairudie hali ya utumwa
"walimteua kiongozi kuwapeleka kwenye nchi waliyokuwa watumwa."
# ambaye amejaa msamaha
Nia ya kusamehe inazungumzwa kama kama ni maji ambayo inaweza kujaza chombo. AT "ambaye yupo tayari kusamehe"
# wingi katika upendo thabiti
Upendo umesemekana kama ni mazao ya chakula ambayo Bwana angeweza kushirikiana na watu. AT "anapenda watu wake sana"