sw_tn/neh/08/18.md

517 B

siku kwa siku

"kila siku"

kuanzia siku ya kwanza hadi ya mwisho

Maelezo ya habari ni kwamba ilikuwa wakati wa wiki nzima ya tamasha hilo. AT "kutoka siku ya kwanza hadi siku ya mwisho ya juma"

Walifanya tamasha

'"Walifanya sikukuu" au "Walisherehekea tamasha"

siku ya nane

"siku 8"

kusanyiko zuri

Huu ulikuwa mkutano maalum wa dini.

kwa utiifu wa amri

Taarifa iliyotarajiwa ni kwamba "amri" ilikuwa amri ya Bwana kuhusu jinsi tamasha la nyumba lilivyokuwa limeisha. AT "kama Mungu alivyoamuru"