sw_tn/neh/08/18.md

24 lines
517 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# siku kwa siku
"kila siku"
# kuanzia siku ya kwanza hadi ya mwisho
Maelezo ya habari ni kwamba ilikuwa wakati wa wiki nzima ya tamasha hilo. AT "kutoka siku ya kwanza hadi siku ya mwisho ya juma"
# Walifanya tamasha
'"Walifanya sikukuu" au "Walisherehekea tamasha"
# siku ya nane
"siku 8"
# kusanyiko zuri
Huu ulikuwa mkutano maalum wa dini.
# kwa utiifu wa amri
Taarifa iliyotarajiwa ni kwamba "amri" ilikuwa amri ya Bwana kuhusu jinsi tamasha la nyumba lilivyokuwa limeisha. AT "kama Mungu alivyoamuru"