sw_tn/neh/07/57.md

369 B

Sentensi unganishi

Nehemia anaendelea kuandika idadi ya watu ambao walirudi kutoka uhamishoni.

Sotai...Sofeereth.....Darkoni....Gideli....Shefatia...Hatili.... Pokerethi Sebaimu.... Amoni

Haya ni majina ya wanaume

Sofereti

Hili ni jina la mtu anayeitwa Hasofereti katika Ezra 2:55.

Peruda

Hili ndio jina la mtu ambaye pia huitwa Peruda katika Ezra 2:55.