# Sentensi unganishi Nehemia anaendelea kuandika idadi ya watu ambao walirudi kutoka uhamishoni. # Sotai...Sofeereth.....Darkoni....Gideli....Shefatia...Hatili.... Pokerethi Sebaimu.... Amoni Haya ni majina ya wanaume # Sofereti Hili ni jina la mtu anayeitwa Hasofereti katika Ezra 2:55. # Peruda Hili ndio jina la mtu ambaye pia huitwa Peruda katika Ezra 2:55.