sw_tn/neh/07/53.md

12 lines
324 B
Markdown

# Taarifa za jumla
Aya hizi zinaendelea majina ya watu ambao wazao wao walirudi kutoka uhamishoni
# Bakbuki..... Hakufa.... Harhuri....Baslith...Mehida....Harsha.... Barkosi..... Sisera..... Tema.....Nesia..... Hatifa.
Haya ni majina ya wanaume
# Baslith
Hili ni jina la mtu ambaye pia huitwa Bazluti katika Ezra 2:52.