# Taarifa za jumla Aya hizi zinaendelea majina ya watu ambao wazao wao walirudi kutoka uhamishoni # Bakbuki..... Hakufa.... Harhuri....Baslith...Mehida....Harsha.... Barkosi..... Sisera..... Tema.....Nesia..... Hatifa. Haya ni majina ya wanaume # Baslith Hili ni jina la mtu ambaye pia huitwa Bazluti katika Ezra 2:52.