sw_tn/neh/07/05.md

16 lines
409 B
Markdown

# weka ndani ya moyo wangu
Hapa "moyo" Nehemia inahusu mawazo na mapenzi yake. Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 2:11. AT "aliongoza mimi" au "aliniongoza"
# kuwaandikisha
"kuandika na kujiandikisha"
# Kitabu cha kizazi
Hiki kilikuwa kitabu ambacho hakipo tena.
# nikaona kwamba imeandikwa humo
Hii inaweza kuelezwa katika fomu ya kazi. AT "na kupatikana kuwa mtu ameandika zifuatazo ndani yake"