sw_tn/neh/07/05.md

409 B

weka ndani ya moyo wangu

Hapa "moyo" Nehemia inahusu mawazo na mapenzi yake. Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 2:11. AT "aliongoza mimi" au "aliniongoza"

kuwaandikisha

"kuandika na kujiandikisha"

Kitabu cha kizazi

Hiki kilikuwa kitabu ambacho hakipo tena.

nikaona kwamba imeandikwa humo

Hii inaweza kuelezwa katika fomu ya kazi. AT "na kupatikana kuwa mtu ameandika zifuatazo ndani yake"